BAADA ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Dodoma Jiji kituo kinachofuata kwa Mtibwa Sugar ni dhidi ya Singida Big Stars.
Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Maungu, Morogoro dakika 90 zilipokamilika timu hiyo ilisepa na pointi tatu.
Kituo kinachofuata ni dhidi ya Singida Big Stars mchezo unaotarajiwa kuchezwa Februri 27,2023 Uwanja wa Liti.
Tayari Mtibwa Sugar wanaendelea na mazoezi kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa,