WAKULIMA wa Alizeti, Singida Big Stars leo wana kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Simba mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.
Hiki hapa kikosi kazi kinachotarajiwa kuanza namna hii:-
Benedickt Haule
Nicloas Gyan
Nickson Kibabage
Biemes Carno
Pascal Wawa
Aziz Andambwile
Kelvin Nashon
Yusuph Kagoma
Meddie Kagere
Bruno Gomez
Franck Kazady
Akiba
Michael Christian
Hamad Wazir
Abdulmajid Mangalo
Said Ndemla
Ibrahim Ajibu
Nassoro
Bright
Rodrigo
Rabbin Sanga