KIKOSI cha Simba kina kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Singida Big Stars mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.
Hiki hapa kikosi cha kwanza ambacho kinatarajiwa kuanza namna hii:-
Aishi Manula
Shomary Kapombe
Mohamed Hussein
Joash Onyango
Henock Inonga
Sadio Kanoute
Pape Sakho
Baleke
Mzamiru Yassin
Ntibanzokiza
Clatous Chama
Akiba ni
Beno Kakolanya
Nyoni
Gadiel
Kennedy
Sawadogo
Kibu
Bocco
Kyombo
Okra