ASANTE JANUARI, KARIBU MWEZI WA UPENDO
YAPO mengimengi ambayo yanakatisha tamaa lakini yasikupe maumivu ukaacha kupambana kwa ajili ya kufikia malengo. Ilikua hivyo Januari Mosi kwenye mapambano na sasa ni Januari 31, unadhani unaweza kusema nini zaidi ya asante Januari, karibu mwezi wa upendo Februari. Yote kwa yote kuna matukio ambayo yalitokea ndani ya Januari yataishi kwenye kumbukumbu namna hii katika…