Kampuni ya Habari ya Africa Media inayomilika vituo vya utangazaji Channel 10 na Magic FM, ambacho ni kituo cha matangazo ya redio, leo Januari 30, 2023 wamekabidhiwa Vifaa vya Michezo na Meridianbet kama vile Jezi kwaajili ya kufanyia mazoezi ya mwili.
Meridianbet iliwakilishwa na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Matina Nkurlu pamoja na Meneja wa Maudhui Mtandaoni Twaha Ibrahim, walikabidhi vifaa hivyo kwa kuthamini umuhimu wa michezo, na kudumisha mahusiano bora. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.
Akikabidhi vifaa hivyo Nkurlu alisema kuwa kilichowasukuma kutoa vifaa hivyo ni kutambua umuhimu wa michezo kwa jamii.
“Kwa kutambua umuhimu wa michezo kwa jamii, Meridianbet tumeamua kutoa vifaa hivi vya michezo aina ya jezi ili kuongeza chachu ya watu kushiriki kwenye michezo, Michezo ni tiba ya maradhi, ni burudani pia hujenga mahusiano mema kazini”
Aliongeza kuwa Meridianbet imekuwa ikitoa misaada ya namna hiyo kwa jamii, akigusia Meridianbet kujihusisha na michezo na kuunga juhudi za Serikali chini ya Wizara ya Michezo na Utamuduni, TFF, na Bodi ya Ligi kwa kuingia udhamini mkubwa na klabu ya KMC ya Kinondoni Iliyopo nafasi ya 10 kwenye msimamo. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!
Ukiachana na kutoa msaada huu Africa Media lakini pia Meridianbet tumeidhamini klabu ya KMC tukiwa kama wadhamini wakuu wa timu hiyo ambayo inafanya vizuri, ikiwa nafasi ya 10 kwenye ligi na Juzi wamefuzu hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho (FA)
“Hivyo hii ni sehemu ya utamuduni wetu kurudisha kwa jamii, kwa kile kidogo tunachokipata, na jambo kubwa la kuigwa ni kwamba Makampuni mengine yaige mfano wa Meridianbet wa kurejesha kwa jamii.”
Meridianbet wamekuwa wakiweka nguvu kwenye michezo, ikumbukwe kuwa Mwaka jana Septemba 2022 waliingia udhamini na timu hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa kama mdhamini mkuu wa klabu hiyo kwa muda wa miaka mitatu. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.