SINGIDA BIG STARS KAMILI KUIVAA SIMBA, KASEKE KUKOSEKANA
KLABU ya Singida Big Stars kwa sasa ipo Dara kwa ajili ya maandalizi ya mechi yao ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Ijumaa ikiwa ni mzunguko wa pili baada ya ule wa mzunguko wa kwanza kugawana pointi mojamoja kwa kufungana bao 1-1. Ni nyota Kaseke anayetumikia adhabu…