CEO MPYA WA SIMBA HUYU HAPA

NI imani Kajula ametangazwa kuwa Mtendaji Mkuu mpya wa Simba SC akichukua nafasi ya Barbra Gonzalez ambaye alitangaza kujiuzulu kwenye nafasi hiyo. Mtendaji huyo mpya ameweka wazi kuwa anafurahi kujiunga na timu hiyo kwenye nafasi hiyo. Aidha amesema yeye ni shabiki na mwanachama wa timu hiyo kwa muda mrefu. “Mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba…

Read More

WAKALI WA KUTUPIA HAT TRICK, KAFUNGUA 2023

MASTAA wanne ndani ya Ligi Kuu Bara wametupia hat trick ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Nyota wa kwanza kufanya hivyo ni Fiston Mayele wa Yanga ambaye alifunga mbele ya Singida Big Stars. Ni Novemba 17,2022 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 4-1Singida Big Stars ambapo bao la Singida Big Stars lilipachikwa…

Read More