JEMBE LINGINE LATAMBULISHWA MSIMBAZI

NI Mohammed Mussa amesajini dili la miaka mitatu kuitumikia Klabu ya Simba.

Nyota huyo ametambulishwa rasmi Januari 16, 2023 baada ya kukamilisha usajili wake katika timu hiyo.

Alikuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Malindi na sasa yupo ndani ya Simba.

Ujumbe mfupi ambao wameuachia Simba wakimtabulisha wamesema Mohamed Muss ni mnyama.