Baada ya mahojiano ya dakika 40 mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na mawakili wake pamoja na wale wa Yanga wakiwa na Mwanasheria wa Yanga, Patrick Simon wametoka na Mwananchi imepenyezewa kuwa ni mapumziko kisha watarudi tena
Kiungo aliitwa na kamati hiyo baada ya kuvunja mkataba wake na Yanga.