>

SAUTI:MAYELE ATOA KAULI YA KIBABE,ATAKA KILA KITU

FISTON Mayele, mshambuliaji wa Yanga ameweka wazi kwamba anahitaji kusepa na tuzo za ufungaji bora kwenye mashindano yote ambayo anashiriki kwa msimu wa 2021/22. Kwenye ligi Mayele ametupia mabao sita akiwa ni kinara kwa upande wa Yanga na pia ametoa pasi mbili za mabao kwa upande wa Kombe la Shirikisho ametupia bao moja ilikuwa ni…

Read More

SIMBA YAWAFUATA USGN YA NIGER

WAWAKILISHI wa Tanzania kimataifa katika Kombea Shirikisho, Simba leo wanatarajiwa kukwea pipa kuelekea nchini Niger. Simba itakuwa na mchezo dhidi ya USGN ya Niger ambao ni wa makundi katika Kombe la Shirikisho. Mchezo wa kwanza wa Simba katika Kombe la Shirikisho walishinda mabao 3-1 ilikuwa dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast. Ni Shomari Kapombe,…

Read More

WATATU WA SIMBA KUACHWA

WACHEZAJI watatu tegemeo wa Simba, Chris Mugalu, Kibu Denis na Hassan Dilunga, wapo katika hatihati ya kuongozana na msafara wa timu hiyo utakaokwenda nchini Niger. Simba leo inatarajiwa kusafiri kuelekea Niger kuvaana na US Gendarmerie kwa ajili ya mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa Jumapili hii. Katika michuano hiyo, Simba wapo Kundi D na timu za ASEC…

Read More

SAIDO AJISIKITIKIA MWENYEWE YANGA

SAID Ntibanzokiza, ‘Saido’mambo yake yalikuwa magumu mbele ya Biashara United kwa kushindwa kumtungua kipa namba moja wa Biashara United, James Ssetuba jambo lililofanya kila muda awe anajisikitia anapokosa nafasi. Juzi wakati Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi iliweza kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Biashara United na mabao ya Yanga yalifungwa na…

Read More

VIDEO:TAMBO ZA MASHABIKI WA SIMBA,WAIOMBA RADHI RUVU SHOOTING

MASHABIKI wa Simba wameweka wazi kwamba ushindi ambao wameupata wa mabao 7-0 dhidi ya Ruvu Shooting wanajua kwamba kuna maombolezo na wote wanaombeleza lakini kwenye mpira Simba wakiwa wanataka kitu lazima kikamilike hivyo wanaomba radhi kwa yaliyotokea. Ushindi wa mabao 7 Uwanja wa Mkapa unaifanya Simba kutinga hatua ya robo fainali inaungana na Yanga,Pamba,Polisi Tanzania,Azam…

Read More

KIUNGO TEPSI EVANS WA AZAM FC NI NAMBA MOJA

KIUNGO wa Azam FC, Tepsi Evance amemfunika nyota wa Namungo FC, Obrey Chirwa kwa vitendo katika suala la kutoa pasi za mwisho ndani ya ligi huku akiingia kwenye anga za Clatous Chama ambaye anatetea tuzo yake ya kiungo bora. Chirwa ana pasi tatu za mabao pia anashikilia rekodi ya kutoa pasi zaidi ya moja kwenye…

Read More

SIMBA YASHINDA MBELE YA RUVU SHOOTING 7-0

UWANJA wa Mkapa Simba imeshinda mbele ya Ruvu Shooting kwa kutupia mabao 7-0. Kipindi cha kwanza Simba walitupia mabao matano ilikuwa kupitia John Bocco na Clatous Chama ambao walitupia mabao mawilimawili na bao moja ilikuwa ni la kujifunga kwa Michael Masinda ilikuwa dakika ya 44. Kipindi cha pili Ruvu Shooting walifanya mabadiliko kwa kumtoa kipa…

Read More

BAO LA SAKHO LACHAGULIWA KUWA BORA KIMATAIFA

BAO la kiungo mshambuliaji wa Simba, Pape Sakho limechaguliwa kuwa bao bora la wiki katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Kiungo huyo alipachika bao hilo Februari 13,2022 katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ilikuwa ni kwa mtindo wa Acrobatic. Alipachika bao hilo la ufunguzi katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi dhidi ya…

Read More