MENEJA wa Idara ya Habari ndani ya kikosi cha Simba, Ahmed Ally aeweka wazi kuwa wanahitaji kuendelea kuwa na mwendelezo mzuri popote pale ambapo wanacheza ili kuwa imara na wamepunguza makosa kwenye mechi zao huku akitaja kuwa ilibaki kidogo afunge hat trick