HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA V COASTAL UNION

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba anarejea nyumbani Coastal Union lakini leo hatakuwa kocha wa Coastal Union bali atakuwa kwenye benchi la Simba.

Simba inasaka pointi tatu ambazo Coastal Union nao wanazihitaji pia na hiki hapa kikosi kitakachoanza kwa upande wa Simba kuikabili Coastal Union namna hii:-

Aishi Manula

Mohamed Hussein

Joash Onyango

Shomari Kapombe

Inonga

Kanoute

Clatous Chama

Mzamiru Yassin

John Bocco

Mosses Phiri

Pape Sakho

Benchi ni:-

Beno

Kennedy

Nyoni

Outtara

Ackpan

Mkude

Kyombo

Okra

Jimson