>

IHEFU 1-1 YANGA

UBAO wa Uwanja Highland Estate dakika 45 unasoma Ihefu 1-1 Yanga ambapo kila timu imepata bao moja ambalo linawapeleka kwenye mapumziko.

Ni Yanga walianza kupata bao kupitia kwa Yannick Bangala dakika ya 8 ambaye alipachika bao kwa kichwa akitumia pasi ya Lomalisa.

Kwa upande wa Ihefu bao lao lilipatikana kupitia kwa Tigere dakika ya 43 ambaye alipiga pigo la faulo lilimshinda kipa namba moja Diarra Djigui.