KUTANA NA MSHINDI WA SAMSUNG Z FLIP 4 KUTOKA MERIDIANBET!

 

Wikiendi hii Meridianbet imeshuhudia bingwa na mshindi wa simu mpya aina ya Samsung Z Flip 4, ambaye ameibuka kidedea katika promosheni ya 1 Click 2Phone iliyokuwa ikiendeshwa na Meridianbet. Ungependa kufahamu zaidi juu ya ushindi wake? soma hapa!

Promosheni ya 1 Click 2 phone imedumu kwa kipindi cha mwezi mmoja kwa wateja wapya waliojisajili kuanzia tarehe 17 Oktoba mpaka tarehe 18 November mwaka huu.

 

Bingwa wetu alichangamkia bonasi hii kubwa ya ukaribisho ambayo haijawahi kutokea mahali popote. Alijisajili na kuweka tiketi zake kadri awezavyo na kufanikiwa kuibuka mshindi katika katika upande wa ubashiri wa kawaida, ubashiri wa kasino.

Mshindi anajisikiaje baada ya kujinyakulia zawadi yake?

Ile hali na hisia za kupokea taarifa njema, huenda sambamba na msisimko wa mwili na mshtuko hususani kwenye jambo ambalo hukulitegemea kwa muda huo, hii ndiyo hali ambayo Bingwa wa promosheni hii Mhina Moris alikuwa nayo alipopigiwa simu ya ushindi.

“Najisikia Furaha, nilijua natapeliwa kwani sikuwa na Imani kama ni kweli, ila Meridianbet hamna janja janja kama wengine”- Mhina Moris, Mshindi wa Promosheni.

 

Kila mmoja ana chimbo lake ambalo hupata taarifa na michongo mingine, hata waswahili walinena ishi na watu vizuri, walikuwa na maana ya kwamba fursa hutoka kwa watu unaoishi nao kwa wema, uhalisia wa usemi huu ana ufahamu Mhina Moris ambaye anakiri kwamba alipata taarifa za promosheni hii kubwa ya Meridianbet kutoka kwa Rafiki yake.

 

Ni upi wito wake kwa wateja wengine wa Meridianbet?

Kizuri kula na mwenzako, usiwe mchoyo kuna leo na kesho, Bingwa wa Promosheni ya 1 Click 2phone hakuwa mchoyo wa fadhila, ameamua kumwaga chakula chote kwako, ni ushindwe wewe tu, Moris alikuwa na wito huu kwako:

 

“Ni kweli watu wajitokeze kucheza kwa sababu watu wanapata faida, na kuongeza kipato, hivyo nawasihi wacheze kila promosheni inayotangazwa na Meridianbet”

 

Haya Sasa Mchongo mwingine kutoka Meridianbet huu hapa usifanye makosa safari hii. Kasino Mtandaoni ni sehemu nyingine rahisi ya kushinda mihela, michezo ya Aviator, Poker na Roulette sasa imerahishwa. Pia unaweza kutengeneza mkeka wa Tsh 500/= kisha unaweka kwenye sanduku lililopo kwenye maduka ya Meridanbet ujiweke kwenye nafasi ya kushinda zawadi kabambe.