SHABIKI WA SIMBA ASHINDA M 11 NA 10BET

SHABIKI wa Klabu ya Simba na Liverpool ya England Richard Mkumbo ameshinda Sh11 milioni kupitia jackpot ya katikati ya wiki ya kampuni ya 10 bet Tanzania. Mkumbo ambaye ni mkazi wa Singida ameshinda kiasi hicho cha fedha baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 10 za ligi mbalimbali duniani kwa sh 500 tu.  Ameweka kibindoni Sh11…

Read More

MANE NDO BASI TENA QATAR

STAA wa Senegal, Sadio Mane ambaye anakipiga ndani ya Bayern Munich jitihada za kumrejesha kwenye ubora zimegonga mwamba. Ni rasmi kuwa winga huyo mwenye kipaji cha kweli hatakuwa kwenye orodha ya wachezaji watakaocheza michuano ya Kombe la Dunia, Qatar. Sababu kubwa ni majeraha ya mguu ambayo aliyapata akiwa na timu yake ya Bayern Munich hivi…

Read More

KIUNGO YANGA APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA

KIUNGO Khalid Aucho wa Klabu ya Yanga, amefanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kutoka nchini Uganda. Aucho mwenye miaka 29 amefanikiwa kushinda tuzo hiyo baada ya kuwashinda wapinzani wake katika kinyang’anyiro hicho. Kiungo huyo amefanikiwa kuwashinda kipa wa Mamelodi Sundowns, Dennis Masinde Onyango mwenye miaka 37 na mshambuliaji wa Vipers Yunus Sentamu mwenye…

Read More

USHINDI MEZANI NA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET!

Kama iliivyo ada,  Meridianbet inakuletea michezo ya aina mbalimbali, Ofa, Odds kubwa na Bonasi kibao. Meridianbet inakuletea mchezo bomba wenye miondoko ya kizamani unaojulikana kama Titan Roulette. Mchezo huu uliotengenezwa na watenganezaji wa michezo ya kasino Expanse Studios unapatikana kwenye Kasino ya Mtandoni ya Meridianbet. Titan Roulette ni mchezo wenye miondoko ya kizamani na wenye…

Read More