KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kesho kati ya Simba v Ruvu Shooting, Juma Mgunda Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa maandalizi yapo sawa huku kiungo Clatous Chama akiwa ni miongoni mwa nyota ambao wapo tayari kwa mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa