>

RATIBA LIGI KUU BARA BONGO

LIGI Kuu Tanzania Bara leo Novemba 17,2022 inatarajiwa kuendeea kwa timu kuyeyusha dakika 90 msako wa pointi tatu muhimu.

Ihefu ya Mbeya itawakaribisha Polisi Tanzania mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate, Mbeya.

Mbeya City ya Mbeya itawakaribisha Kagera Sugar, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Yanga ya Dar itawakaribisha Singida Big Stars, Uwanja wa Mkapa, Dar ngoma itapigwa saa 1:00 usiku.