UWANJA wa CCM Kirumba dakika 45 zimekamilika na ubao unasoma Kagera Sugar 0-1 Yanga.
Bao la uongozi kwa Yanga limefungwa na nyota Clemet Mzize dakika 18 akiwa ndani ya 18 na kuwanyanyua Wananchi.
Mashabiki wamejitokeza kwa wingi na dakika ya 45 walisimama kwa pamoja kupig makofi kushangilia uongozi wao pamoja na rekodi yakucheza mechi hizo bila kufungwa.