LIGI ZA ULAYA ZENYE ODDS KUBWA WIKI HII… SOMA HAPA

Baada ya EPL kusimama kupisha michuano ya Carabao Cup, Wikiendi Hii itaendelea tena kwa michezo kadhaa kabla ya michuano ya Kombe la Dunia kuanza. Hispania Copa Del Rey, Serie A, na Ligue 1 nazo zitatimua vumbi. Sehemu ya kupata odds kubwa ni Meridianbet pekee.

EPL ya kibabe ni michezo ya mwisho kabla ya Ligi kusimama, Manchester City waliopo nafasi ya 2 kwenye msimamo wa EPL, watakuwa wanahitaji kupata matokeo mazuri kwenye Uwanja wao wa nyumbani dhidi ya Brentford ili kwenda kwenye mapumzika mafupi wakiwa kileleni Meridianbet wameweka odds kubwa kuliko kawaida.

Bayern Munich ikimkosa mchezaji wao hatari Sadio Mane aliyeumia goti, watakuwa ugenini kukipiga na Schalke, wakati huo kwenye dimba jingine utashuhudia pira likitembea ni Leverkusen dhidi ya Stuttgart. Pia Bremen waliotoka kupoteza dhidi ya Bayern bao 6-1 watakipiga na RB Leipzig. Beti sasa na Mabingwa.

Kwenye Serie A, Napoli hawatakuwa na kingine Zaidi ya kuwakaribisha Udinese kwenye raundi ya 15, Napoli ni kinara wa kwenye msimamo kwa alama 38 wakati Udinese wakiwa kwenye nafasi ya 7 na alama zao 24. Pia Atalanta watakuwa wenyeji wa Inter Milan waliopo nafasi ya 8, Huku Roma na Torino watakipiga kwenye mchezo wa raundi ya 15 ya Serie A.

 

Nao AC Milan moto utawaka pale ambapo watacheza dhidi ya Fiorentina. Juventus nao watawakaribisha Lazio kuikamilisha raundi ya 15 ya Serie A. mechi imepewa odds kubwa zaidi Beti hapa.

 

Paris Saint-German wababe wa Ligue 1 wakiwa kwenye dimba lao la nyumbani, watawakaribisha Auxerre, wakati Lille wakiwa wenyeji wa Angers ambapo hawapo sehemu nzuri kwenye msimamo wapo nafasi ya 20. Na Monacoakiwa nafasi ya 5 atakutana na jirani yake aliyepo nafasi ya 4, hawa wote rekodi zao zinawapa nafasi ya kuzinyakua alama 3. Kwa USSD ni rahisi kushinda kwa dau dogo sana la TZS 250/= tena unabeti bure kabisa.

Haiishii hapo tu, Ile michuano ya Kombe la Mfalme ‘Copa Del Rey’ nchini Hispania Jumamosi utapigwa mchezo mmoja kati ya Villarreal atakuwa ugenini dhidi ya Santa Amalia, na siku ya Jumapili sasa Sevilla atakuwa ugenini pia kucheza na Velarde, hawajasahaulika Getafe wakiwa ugenini kukipiga dhidi ya CD San Roque de Lepe.  Beti hapa.

Lakini pia Copa del Rey itaendelea kwa mchezo mwingine ambao utawakutanisha Cazalegas wenyeji wa Real Sociedad na upande mwingine Atletico Madrid ni wageni waalikwa wa Almazan. Meridianbet wana machaguo Zaidi ya 1000.