SportsVIDEO:MUZIKI WA SINGIDA BIG STARS WAMPA MCHECHETO MGUNDA Saleh2 years ago01 mins KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Singida Big Stars v Simba unatarajiwa kuchezwa kesho Uwanja wa Liti Kocha Mkuu wa Simba Juma Mgunda ameweka wazi kuwa itakuwa kazi ngumu kwa kuwa wanakutana na timu ngumu. Post navigation Previous: AZIZ KI KIUNGO WA YANGA ‘OUT’Next: HIVI NDIVYO YANGA ITAKAVYOMALIZANA NA WAARABU CAF