VIDEO:SIMBA YATAJA KIPORO CHA YANGA,BALL ITATEMBEA

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars, uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa kuna wachezaji ambao wataukosa mchezo huo ikiwa ni pamoja na Okwa, Okra huku wakiweka wazi kuwa watani zao wa jadi Yanga wana kiporo hicyo hawatakuwa na furaha wakikakaa kileleni bali watapunguza gap la pointi