MWANACHAMA na shabiki wa Yanga Mboto ameweka wazi kwamba hatakiwi kupewa pole kwa kuwa Yanga haijafungwa hivyo kufungwa ama kutofungwa kitatokea huko Tunisia, Mboto amebainisha kuwa wapo ambao wanatumika kwa ajili ya kuwapa mihemuko mashabiki wa Yanga