SportsVIDEO: MZARAMO SIMBA AWAZUNGUMZIA YANGA Saleh2 years ago01 mins SHABIKI wa Simba maarufu kama Mzaramo ameweka wazi kuwa kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya Club Africain uliochezwa Uwanja wa Mkapa ameona mauzauza kwa kuwa jamaa walikuwa wanazuia tu na kwa ishara hiyo wakienda ugenini watapoteza Post navigation Previous: VIDEO: MASHABIKI WALIA NA NABI KIMATAIFANext: VIDEO:WALICHOFANYA MASHABIKI WA SIMBA KWENYE GARI LA WAARABU