SportsVIDEO:NABI:HATUKUWA NA MUDA WA KUJIANDAA/TULIOMBA MECHI IPELEKWE MBELE Saleh2 years ago01 mins NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema waliomba kupewa muda wa kufanya maandalizi kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wao Club Africain lakini hawakujibiwa hivyo kwa sasa wanajaandaa kwa muda ambao upo na mechi zikiwa zimepangana Post navigation Previous: NABI: WACHEZAJI WOTE WAPO TAYARI KIMATAIFANext: KOCHA MTIBWA AFICHUA UBORA WA SIMBA ULIPO