>

BRIGHTON WAZIKAMATA DAKIKA 45 MBELE YA CHELSEA

 UWANJA wa Falmer ni Brighton wanaongoza kwa mabao 3-0 dhidi ya Chelsea mchezo wa Ligi Kuu England.

Ni dakika 45 za maumivu kwa Chelsea kwa kuwa nyota wake wawili wamejifunga kwenye mchezo wa leo.

Bao la ufunguzi ni mali ya Leandro Trossad dakika ya 5, Ruben Loftur-cheek alijifunga dakika ya 14 na Trevoh Chabobah alijifunga dakika ya 42.