
YANGA YASEPA NA POINTI TATU KWA PENALTI ILIYOZUA GUMZO
DAKIKA 45 za jasho zimekamilika Uwanja wa CCM Kirumba ambapo ubao umesoma Geita Gold 0-1 Yanga. Kwenye kikosi cha Yanga kiungo Feisal Salum alianza na alikuwa akipambana kwa nguvu kubwa na nyota wa zamani wa timu hiyo Adeyum Saleh. Bao pekee la ushindi limefungwa na kiungo Bernard Morrison kwa pigo la penalti dakika ya 45….