UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa Yanga akipangiwa mechi na Simba anakuwa hana wasiwasi jambo ambalo linawaumiza kwa kuwa kuna namna ambayo wanawapatia wakiingia kwenye anga zao watapigwa nyingi huku akiweka wazi kuwa wanakwenda kujiuliza kwa Azam FC