SportsVIDEO: NABI: TUMETOKA KWENYE MCHEZO MGUMU Saleh2 years ago01 mins NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wametoka kwenye mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba hivyo watajitajidi kesho kupambana kupata matokeo kwenye mchezo wa ligi dhidi ya KMC, Uwanja wa Mkapa Post navigation Previous: VIDEO:KMC: TUNAKWENDA KUCHEZA NA TIMU BORA,TUNATAKA POINTI TATU ZA YANGANext: VIDEO: JEMBE: AZIZ KI BADO SANA ANAHITAJI MUDA