![KMC HAWANA JAMBO DOGO, HIKI WANAKITAFUTA](https://salehjembe.co.tz/wp-content/uploads/2022/10/Ame-v-Mtibwa-1.jpg)
KMC HAWANA JAMBO DOGO, HIKI WANAKITAFUTA
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa unahitaji kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ulio mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. KMC chini ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery imekusanya pointi 13 baada ya kucheza mechi 8 za ligi, imeshinda tatu, sare nne na imepoteza mchezo mmoja ikiwa nafasi ya tatu. Christina Mwagala, Ofisa…