VIDEO:YANGA WAKIRI KUKUTANA NA MAZINGIRA MAGUMU KIMATAIFA

RAIS wa Yanga, Injinia Hers Said amesema matokeo ambayo wameyapata kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hayakuwa upande wao kwa kuwa walikuwa wanahitaji kusonga mbele lakini mazingira yalikuwa magumu sana na walikutana na ‘epsod’ yenyewe kuliko ile waliyopata St George.

Yanga ilipoteza kw kufungwa bao 1-0 na kuifanya itolewe kwenye hatua ya kuelekea hatua ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya mabao 2-1.