SportsJUMA MGUNDA AMEKABIDHIWA SIMBA Saleh2 years ago01 mins MPANGO wa Simba kumtafuta kocha mpya ndani ya kikosi hicho kwa sasa umefutwa na badala yake Juma Mgunda ataendelea kukinoa kikosi hicho kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika Post navigation Previous: YANGA NDANI YA DAR, MIPANGO YAO HII HAPANext: VIDEO:YANGA WAKIRI KUKUTANA NA MAZINGIRA MAGUMU KIMATAIFA