>

VIDEO:YANGA:UKWELI MCHUNGU, WATATU KUWAKOSA AL HILAL

ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa ukweli mchungu kwa timu hiyo kushindwa kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika jambo ambalo linawafanya wawafuate wapinzani wao wakiwa wanahitaji ushindi ndani ya dakika 90 bila hofu. Kamwe amebainisha kuwa kuna wachezaji watatu ambao watakosekana kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Sudan, Oktoba 16,2022