>

VIDEO:MCONGO WA SIMBA: KWA UWEZO SIMBA IMEPITA,KUNA KAZI YA KUFANYA

MCONGO wa Simba amesema kuwa kimtazamo Simba imefanikiwa kupita hatua ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kuwa ndani ya hatua ya makundi lakini bado mpira unaendelea na hawatarudia makosa ambayo waliyafanya kimataifa dhidi ya Jwaneng Galaxy kwa kuwa kwa sasa wamefanya usajili mzuri