KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kwa sasa kinaendelea na mazoezi kuelekea mchezo wao dhidi ya Waangola,unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 16,2022. Moses Phiri, Henock Inonga, Sadio Kanoute ni miongoni mwa wachezaji waliopo kwenye mazoezi