SportsMABOSI SIMBA WAKUBALI UWEZO WA MGUNDA Saleh2 years ago01 mins KUTOKANA na kasi ambayo anakwenda nayo Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda mabosi wa timu hiyo wamebainisha kuwa wezo wake upo vizuri na hawakufanya makosa kumpa timu Mgunda akishirikiana na Seleman Matola ambaye ni msaidizi na wote ni wazawa Post navigation Previous: USHINDI WA MABAO 7-1 WAIPA JEURI LIVERPOOLNext: MINZIRO AFUNGUKIA KUPATA POINTI MOJA UGENINI