VIDEO:SIMBA: KILA TIMU ITAONEKANA DHAIFU IKIFUNGWA NA SIMBA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa una mpango wa kubadili mfumo wa ushangiliaji kimataifa watakapotinga hatua ya makundi, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa kila timu ambayo itafungwa na Simba itaitwa dhaifu kwani waliwafunga Al Ahly, Uwanja wa Mkapa watu wakasema pia huku akibainisha namna ambavyo walipata tabu kipindi cha pili.