AZAM FC MATUMAINI KIBAO KUWAKABILI WAARABU

BAADA ya kupoteza ugenini kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya Al Akhadar ya Libya, Azam FC hesabu zao ni kupata matokeo nyumbani.Wakiwa ugenini walikubali kipigo cha mabao 3-0 jambo ambalo linawafanya wawe na kibarua cha kusaka ushindi wa zaidi ya mabao matatu bila kufungwa wakiwa Azam Complex. Kocha Mkuu wa Azam FC, Denis Lavagne ameweka…

Read More

JUMA MGUNDA ATAJA SABABU ZA KUWA KWENYE MWENDO BORA

UMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa mafanikio ambayo yanapatikana ndani ya timu hiyo ni kutokana na benchi la ufundi makini pamoja na ushirikiano kutoka kwa viongozi na mashabiki. Mgunda amekuwa na mwendo mzuri ndani ya Simba baada ya kupewa kibarua cha kuinoa timu hiyo ambapo mchezo wake wa kwanza ilikuwa dhidi ya…

Read More

FEI TOTO, MORRISON NA AZIZ KI WAPEWA KAZI KIMATAIFA

VIUNGO wa Yanga ikiwa ni pamoja na Aziz KI, Feisal Salum, Bernard Morrison, Khalid Aucho wamepewa kazi maalumu kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa nchini Sudan, Jumapili, Oktoba 16,2022 saa 2:00 usiku baada ya ule uliochezwa Uwanja wa Mkapa,ubao usoma Yanga 1-1 Al Hilal. Nasreddine…

Read More