MPANGO unaanza kusukwa upya kwa ajili ya Yanga kuikabili Al Hilal ugenini mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, Nasreddine Nabi amesisitiza umakini kwa wachezaji wake kwenye kutumia mapigo huru ikiwa ni kwa kiungo Bernard Morrison na Aziz KI