SportsRATIBA LIGI KUU BARA Saleh2 years ago01 mins MECHI za Ligi Kuu Bara leo Oktoba 3,2022 ikiwa ni msimu wa 2022/23 Coastal Union ya Tanga itamenyana na Kagera Sugar saa 10:00 jioni. Ruvu Shooting v Yanga, saa 12:15 jioni Azam FC v Singida Big Stars, saa 2:15 usiku. Post navigation Previous: MOSES PHIRI ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORANext: SAUTI:MILIONI 300 ZATUMIKA UJENZI WA UWANJA SIMBA