VIDEO: SHABIKI WA YANGA AMFUNGUKIA INONGA, MASAA 72 AITWE

HAJI Mboto, shabiki wa Yanga ameweka wazi kuwa beki wa Simba Henock Inonga ikionekana ameitwa na Kamati ya Masaa 72 itawafanya waweze kuona kwambwa inaonyesha ameitwa na hilo litawafanya wachezaji wawe na hofu huku akibainisha kuwa waamuzi ni wanadamu wakikosea wanasemwa kwa kuwa wanakosea