KOCHA MOSIMANE APATA DILI SAUDI ARABIA

KLABU ya Soka ya Al-Ahli kutoka Saudi Arabia leo Jumapili Septemba 25, 2022 imemtangaza Pitso Mosimane kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo. Kabla ya Mosimane kujiunga na klabu hiyo alikuwa akiitumikia Klabu ya Al Ahly ya Misri. Al-Ahli inashiriki Ligi Daraja la pili nchini Saudi Arabia baada ya kushuka daraja msimu uliopita wa 2021/ 2022….

Read More

MGUNDA; TUPO TAYARI KUIKABILI MALINDA

 JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya Malindi, Uwanja wa Amaan. Simba imealikwa kwenye mashindano maalumu Visiwani Zanzibar na leo itacheza mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Malindi. Jana Septemba 24 kikosi hicho kilifanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kujiandaa na mchezo…

Read More