SportsVIDEO:KOCHA MGUNDA AWATAJA WATAKAOIKOSA PRISONS Saleh2 years ago01 mins JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Tanzania Prisons huku akiwataja nyota ambao wataukosa mchezo huo ikiwa ni pamoja na Sadio Kanoute ambaye anaumwa, Shomari Kapombe Post navigation Previous: VIDEO: WALICHOKIFANYA YANGA BAADA YA USHINDI MBELE YA MTIBWANext: HAIJAWAHI TOKEA, UJENZI UWANJA WA YANGA NOMA, MGUNDA HATUJAMALIZA