MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya awali, Uwanja wa Mkapa, Zalan FC 0-0 Yanga.
Ni dakika 45 za nguvu kwa kila timu kuonyesha ubabe wake lakini hakuna ambaye ameweza kuona nyavu za mpinzani wake.
Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi anakwenda mapumziko kuwabadilishia mbinu wapinzani wake ambao nao wanahitaji ushindi.