SAUTI:ISHU YA ONYANGO KUONDOKA SIMBA IMEFIKIA HAPA

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa bado beki Joash Onyango ni mali ya Simba kwa kuwa ana mkataba wa miaka miwili hivyo ataendelea kuwa hapo mpaka mkataba wake utakapogot ukingoni, nyota huyo anatajwa kuomba kuvunjiwa mkataa na timu hiyo ili awe huru kutokana na kutopewa nafasi yakucheza