AZAM FC kwa sasa ipo chimbo kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 6,2022, timu hiyo imewafuta kazi makocha wao ikiwa ni Moallin Abdi aliyekuwa kocha mkuu na kuwa chini ya kocha wa makipa kwa muda huku Jembe akitaja tatizo la timu hiyo lilipo