SportsVIDEO:ISHU YA MANZOKI KUACHANA NA MSIMBAZI IPO HIVI Saleh2 years ago01 mins CESAR Manzoki nyota wa Vipers SC ya Uganda alikuwa kwenye hesabu za kutua ndani ya Simba ila mpango huo umekwama, siri ya Simba kuachana na nyota huyo imebainishwa kwamba ni dau pamoja na kupata timu mpya nchini China. Post navigation Previous: VIDEO:PACHA WA MAYELE AFUNGUKIA KUFUATWA NA VIONGOZI SIMBANext: SAUTI:ONYANGO AWEKWA KANDO NA MAKI