SportsSAUTI:MASTAA YANGA WAOMBEWA ULINZI Saleh2 years ago01 mins NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amewaombea ulinzi wachezaji wake ikiwa ni pamoja na Aziz KI, Bernard Morrison, Fiston Mayele wawapo uwanjani. Pia Nabi amesema kuwa ni muhimu kwa wachezaji wote kwenye ligi kulindwa. Post navigation Previous: TEPSI NDANI YA STARS, KIM ATOA NENONext: SAUTI:SABABU YA BOCCO KUTOCHEZA MECHI ZA SIMBA