SportsSAUTI:ISHU YA MANZOKI KUSAJILIWA YANGA IPO HIVI Saleh2 years ago01 mins KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amebainisha kuwa mchezaji Cesar Manzoki ni moja ya wachezaji wazuri huku akibainisha kuwa mpango wa kuweza kumsajili kwa sasa haupo labda kwa timu nyingine ambayo inahitaji saini yake Post navigation Previous: SIMBA KUCHEZA MECHI ZA KIMATAIFANext: MASTAA 10 KUTOKUWA NDANI YA GEITA GOLD