KAGERA SUGAR:TUTAREJEA TUKIWA IMARA
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amebainisha wazi kuwa makosa ambayo wameyafanya kwenye mechi mbili mfululizo watayafanyia kazi ili waweze kurejea wakiwa imara. Timu hiyo kwenye mechi mbili za ligi msimu wa 2022/23 imeyeyusha pointi sita mazima kwa kuwa ilifungwa kwenye mechi hizo. Ilianza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC, Uwanja wa…