SportsVIDEO:KOCHA KAGERA SUGAR AKUBALI MUZIKI WA SIMBA Saleh2 years ago01 mins FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa wamepoteza mchezo wao mbele ya Simba kutokana na makosa ambayo walifanya wachezaji wake huku akiwataja wachezaji wa Simba ikiwa ni pamoja na Clatous Chama kuwa ni moja ya viungo wazuri Post navigation Previous: VIDEO:KOCHA SIMBA ASHANGILIA KISA MZUNGUNext: MERIDIANBET WALIVYOFUNGA SAFARI KUMSHIKA MKONO MGONJWA BUZA